tunashugulika na upauaji wa nyumba tunakuhakikishia ubora wanyumba yako kwani kazi yetu ndio dhamana yetu.
Tunato ushauri na kumsikiliza mteja kulingana na mtazamo wake husiana na nyumba aliojenga ili kufikia malengo.
Tunachora ramani mbalimbali za nyumba paomoja na kufanya mahesabu ya husianayo na uujenzi wa nyumba
TUNAO MAFUNDI WENYE KUJENGA KWA GARAMA NAFUU ENDAPO UTAKUA NA VITU VYOTE KAMA VILE
Tofari
Kokoto
Mchanga
Misumari
Mbao
Saruji
KAZI YA UPAUAJI hufanyika mara baada ya ujenzi kukamilika
TUNAO MAFUNDI WENYE kupaua hata kama hauna ramani ya PAA HUSIKA
Habari njema kwa wakazi washinyanga mwanza mara kigoma bukoba na kanda ya
ziwa kwa ujumla,tunachora ramani mbalimbali za nyumba za kila aina kulingana na
mahitaji ya mteja,gharama ni nafuu sana.
MFANO.
We offer;
1. Site plan
2. Floor plan
3. Roof plan
4. Building cross-section
5. Elevations
6. Sewage system
7.structural design and detailing
8 Tunaccora ramani iliokamilika kuanzia msingi hadi upauaji kwa bei nafuu sana
Pia tunatoa na huduma za kusimamia site (site supervision).
Ushauri ni bure kabisa, kwa mawasiliano piga 0683462316
Karibuni sana
Pia tunatoa na huduma za kusimamia site (site supervision).
Ushauri ni bure kabisa, kwa mawasiliano piga 0683462316
Karibuni sana
Sote kwapamoja tunaweza
Ahsante.
www.Jakogwasi-tatech.com
jakogwasi@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni