Jumatatu, 7 Februari 2022

MATOKEO YA GORIBE KITADO CHA PILI SHULE YA SEKONDARY YAGORIBE 2021 NI MBOVU KUPINDUKIA

HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI SHULE YA UPILI AU SECONDARI YA GORIBE ILIOKO WILAYANI RORYA

https://matokeo.necta.go.tz/results2021/ftna/S2723.htm

Ijumaa, 10 Julai 2020

RAMANI BORA



UJENZI wa nyumba bora ni alama ya mafanikio kwa mjenzi na familia kwa ujumla kwani familia hufurahia uwepo wa makazi mapya yalio bora ..

kwa watoto na mama pamoja na wanajamii hukujumuisha kwa watu wenye mitazamo ya kimaendeleo kutokana na aina ya maisha unayoishi na mali ulizonazo hivi hujumuisha nyumba kama kitu muhimu sana katika maisha 

kwani hata ukiwa na gari pasipo kua na nyumba utaonekana tu maskini tena lofa

PATA RAMANI YAKO HAPA









































UJENZI



CHAGUA RAMANI HAPA KWA MAMUZI SAHIHI.

Jumatano, 4 Machi 2020

MAISHA NA UHALISIA KWA WAKAZI

MAISHA ya tarime ni shwari na watu wolioko katika wilaya hiyo kiujumla ni watu wenye upendo wa waasi tofauti na dhana iliokuepo zamani ya ukatili na kubaguana kikabila na kuishi kw matabaka.

Kwa Sasa tarime ni sehemu nzuri kimaisha njapo changamoto hazikosi kuwepo kwa WAKAZI waliozoea kuishi peke yao wanapokutana na watu mbalimbali wanaishi kwa kufuata tamaduni zao na wenyeji kujikuta wakianza kupoteza Mila na desturi zao.

Eneo hili la tarime watu hushirikiana katika vitu mbalimbali na hukaa pamoja katika biashara na maishha husonga mbele kama marneo mengine..


Jumamosi, 12 Oktoba 2019

NYUMBA BORA GARAMA NAFUU

UNAPOTAKA KUJENGA H
AKIKISHA UBORA WA NYUMBA YAKO IWE ISIOISHA THAMANI .KWA KUCHAGUA RAMANI BORA.


UBORA WA NYUMBA HUANZIA KWENYE RAMANI YAKE



Usiwe mwoga wa kufanya mamuzi sahihi ju ya hatima ya kesho yako katika ujenzi




Waweza jenga nyumba kubwa kwa idadi ndogo sana ya bati  .

RAMANI BORA YA FAMILIA NA WAPANGAJI


Nyumba ya kisasa ya familia garama ya kuijenga ni nafuu sana.


Pata nyumba kwa garama ndogo sana ficha paa kwa ulinzi na usalama wako.




















NYUMBA BORA GARAMA NAFUU.

Watanzania na wanajami wote wa africa tunaomba tuwe pamoja katika kuifanya hii sayari yetu kua katika mwonekano wenye kupendeza ....
Pata ramani nzuri ya nyumba hapa.................... 0737873700


0737873700

MATOKEO YA GORIBE KITADO CHA PILI SHULE YA SEKONDARY YAGORIBE 2021 NI MBOVU KUPINDUKIA

HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI SHULE YA UPILI AU SECONDARI YA GORIBE ILIOKO WILAYANI RORYA https://matokeo.necta.go.tz/results2021/ftn...