Jumatano, 4 Machi 2020

MAISHA NA UHALISIA KWA WAKAZI

MAISHA ya tarime ni shwari na watu wolioko katika wilaya hiyo kiujumla ni watu wenye upendo wa waasi tofauti na dhana iliokuepo zamani ya ukatili na kubaguana kikabila na kuishi kw matabaka.

Kwa Sasa tarime ni sehemu nzuri kimaisha njapo changamoto hazikosi kuwepo kwa WAKAZI waliozoea kuishi peke yao wanapokutana na watu mbalimbali wanaishi kwa kufuata tamaduni zao na wenyeji kujikuta wakianza kupoteza Mila na desturi zao.

Eneo hili la tarime watu hushirikiana katika vitu mbalimbali na hukaa pamoja katika biashara na maishha husonga mbele kama marneo mengine..


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

MATOKEO YA GORIBE KITADO CHA PILI SHULE YA SEKONDARY YAGORIBE 2021 NI MBOVU KUPINDUKIA

HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI SHULE YA UPILI AU SECONDARI YA GORIBE ILIOKO WILAYANI RORYA https://matokeo.necta.go.tz/results2021/ftn...