Ijumaa, 22 Desemba 2017

JENGA NYUMBA YAKO

Ujenzi wanyumba huwagarimu watu  wengi kiasi kikubwa cha pesa na kuwafanya watu wenyekipato cha chini kukata tamaa ya kujenga kutokana na garama wanazoziona zikitumika kujenga nyumba kwa wale wenye fedha na hata kuona matajiri wengi wakikwama na kufikia wakati wakichukua mda mrefu wakijiandaa kumalizia majengo yao

TATECH wajenzi bora wameamua kuifanya nchi ya tanzania kua na mpangilio ulio bora kwa kujenga majengo bora kwa garama ndogo bila kuhofia ujenzi wa majengo kama ilivyokua awali.

TATECH ni umoja wa mafundi mbalimbali wa majengo na wenye ujuzi  katika shughuli nzima ya UJENZI WA MAJUMBA.

TATECH hujihusisha na ujengaji wa majumba kwa garama ndogo kuanzia kwenye msingi wa nyumba FOUNDATION PLAN hadi kumaliza nyumba  bila kumwacha mteja akiwa na mawazo mengi ya kutafuta hela ya kufanyia FINISHING ya nyumba yake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

MATOKEO YA GORIBE KITADO CHA PILI SHULE YA SEKONDARY YAGORIBE 2021 NI MBOVU KUPINDUKIA

HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI SHULE YA UPILI AU SECONDARI YA GORIBE ILIOKO WILAYANI RORYA https://matokeo.necta.go.tz/results2021/ftn...