Ijumaa, 22 Desemba 2017

NYUMBA BORA GARAMA NDOGO

NYUMBA bora hutokana na ubunifu wa mchoraji na mjenzi atakae iweka ramani hiyo katika uhalisia wake kulingana na ustadi wake katika kuelewa alama na kufumbua malengo ya MCHORAJI wa ramani husika

RAMANI BORA mchoraji anaweza kuchora ramani nzuri lakini mjenzi akajenga nyumba tofati na maelekezo ya mchoraji wa ramani husika.

NYUMBA  nzuri na bora ni ile iliojengwa kwa kuwakilisha maono na malengo ya mchoraji wa RAMANI. Pia nyumba lazima ikidhi viwango halisi.



UJENZI WA KUTA ujenzi wa boma la nje la nyumba ni utalamu muhimu katika uimara wa nyumba.

NYUMBA nyingi hupasuka kwa sababu mbalimbali ikiwemo makosa wanayoyafanya mafundi wasio waaminifu kwa kupunja RATIO ya sementi na mchanga ilikumwibia bosi ambae ni mtanzania aliejinyima na kulala nja ili afanikishe malengo yake ya kua na nyumba imara na BORA.Badala yake hujikuta akiangukia mkononi mwa mafundi wasio waminifu na kumfanya kutumia garama kubwa na kujikuta na nyumba isio imar.




SABABU NYINGINE ni pale ambapo mchora ramani wa nyumba husika ka huchora ramani ya nyumba husika pasipoa kujali hali halisi ya kijiografia ya eneo linaloenda kujengwa nyumba.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

MATOKEO YA GORIBE KITADO CHA PILI SHULE YA SEKONDARY YAGORIBE 2021 NI MBOVU KUPINDUKIA

HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI SHULE YA UPILI AU SECONDARI YA GORIBE ILIOKO WILAYANI RORYA https://matokeo.necta.go.tz/results2021/ftn...